Kipa wa Mgambo JKT, Soud Abdul akidaka mpira dhidi ya mchezaji wa Yanga SC, Simon Msuva (kulia), huku kiungo Mohammed Samatta akiwa tayari kutoa msaada katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Timu hizo zilitoka 0-0.
![]() |
| Simon Msuva akitafuta maarifa ya kupasua katikati ya wachezaji wa Mgambo jana |
![]() |
| Abdul Iddi (kushoto) wa Mgambo JKT, akiwania mpira dhidi ya Deus Kaseke wa Yanga SC |
![]() |
| Kikosi cha Yanga SC kilichotoa sare ya 0-0 na Mgambo JKT jana |
![]() |
| Kikosi cha Mgambo kilichotoa sare ya 0-0 na Yanga SC jana |
![]() |
| Makocha wa Yanga SC, Hans van der Pluijm (kuia) na Juma Mwabusi (kushoto) Uwanja wa Mkwakwani jana |








.png)
0 comments:
Post a Comment