![]() |
| Yanga SC kwa sasa wanafanya mazoezi ufukweni |
Kipute cha Kagame kinatarajiwa kuanza Julai 18, mwaka huu na zote Yanga SC na KMKM zitacheza michuano hiyo, zikiwa zimepangwa pamoja Kundi A na Gor Mahia ya Kenya, Telecom ya Somalia na Khartoum ya Sudan.
Kundi B kuna APR ya Rwanda, Al Shandy ya Sudan, LLB ya Burundi na Elman ya Somalia, wakati Kundi C kuna Azam, Malakia ya Sudan Kusini, KCC ya Uganda na Adama City ya Ethiopia.
Jumamosi, Yanga SC watacheza mchezo mwingine wa kirafiki dhidi ya kombaini ya Polisi Tanzania inayojiandaa kwa michuano ya Majeshi ya SADC.



.png)
0 comments:
Post a Comment