• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 23, 2015

  SIMBA SC WANAVYOJIFUA ZENJI, WAKITOKA HUKO NI KUCHINJA CHINJA TU HADI UBINGWA

  Wachezaji wa Simba SC wakiwa mazoezini kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar kujiandaa na mechi dhidi ya AFC Leopards mwezi ujao katika tamasha la Simba Day litakalofanyika na baadaye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Kulia ni kocha wa mazoezi ya utimamu wa mwili, Mserbia Dušan Momcilovic.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC WANAVYOJIFUA ZENJI, WAKITOKA HUKO NI KUCHINJA CHINJA TU HADI UBINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top