• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 26, 2015

  SERGEY KOVALEV AMTWANGA 'HADI HURUMA' MWARABU MFARANSA

  Bondia Mfaransa, Nadjib Mohammedi akienda chini baada ya kuchapwa makonde na Mrusi, Sergey Kovalev katika pambano la Light Heavy mjini Las Vegas, Marekani usiku wa kuamkia leo. Mrusi huyo alitetea taji lake kwa ushindi wa Knockout (KO) raundi ya tatu. Na sasa atarejea nyumbani Moscow kujiandaa na pambano lake lijalo Novemba dhidi ya Jean Pascal, ambaye usiku wa jana alimpiga Yunieski Gonzalez kwa pointi ukumbi wa Mandalay Bay PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SERGEY KOVALEV AMTWANGA 'HADI HURUMA' MWARABU MFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top