• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 26, 2015

  CHELSEA YAISHINDA PSG KWA PENALTI 6-5 BAADA YA SARE YA 1-1

  Mshambuliaji wa Chelsea, Victor Moses (kushoto) akibinuka samasoti kushangilia bao lake alilofunga katika sare ya 1-1 dhidi ya PSG jana Uwanja wa  Bank of America mjini Charlotte, North Carolina, Marekani katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa. Chelsea ilishinda kwa penalti 6-5 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAISHINDA PSG KWA PENALTI 6-5 BAADA YA SARE YA 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top