• HABARI MPYA

  Jumamosi, Julai 25, 2015

  TAIFA STARS KUANZA NA MALAWI KUFUZU KOMBE LA DUNIA URUSI 2018

  TANZANIA itacheza na Malawi katika mchezo wa kwanza wa kuwania kupangwa kwenye makundi ya kugombea tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.
  Iwapo itafanikiwa kuitoa Malawi, Tanzania itaingia kwenye Raundi ya pili ya kufuzu ambako itamenyana na Algeria.
  Ikifuzu mtihani wa Algeria, Tanzania itafanikiwa kupangwa kwenye Kundi la kuwania tiketi ya kwenda Urusi mwaka 2018.
  Mechi za Raundi ya kwanza zitachezwa ndani ya wiki Oktoba nyumbani na ugenini na Raundi ya Pili itafuatia Novemba mwaka huu, pia mechi mbili ndani ya wiki moja nyumbani na ugenini.

  RAUNDI YA AWALI KUFUZU KOMBE LA DUNIA UEUSI 2018 KANDA YA AFRIKA;
  1 Somalia VS Niger
  2  Sudan Kusini VS Mauritania
  3  Gambia VS Namibia
  4  Sao Tome e Principe VS Ethiopia
  5 Chad VS Sierra Leone
  6 Comoro VS Lesotho
  7 Djibouti VS Swaziland
  8 Eritrea VS Botswana
  9 Shelisheli VS Burundi
  10 Liberia VS Guinea-Bissau
  11 Jamhuri ya Afrika ya Kati VS Madagascar
  12 Mauritius VS Kenya
  13 Tanzania VS Malawi

  RAUNDI YA PILI
  1 Mshindi 1 VS Cameroon
  2 Mshindi 2 VS Tunisia
  3 Mshindi 3 VS Guinea
  4 Mshindi 4 VS Kongo
  5 Mshindi 5 VS Misri
  6 Mshindi 6 VS Ghana
  7 Mshindi 7 VS Nigeria
  8 Mshindi 8 VS Mali
  9 Mshindi 9 VS DRC
  10 Mshindi 10 VS Ivory Coast
  11 Mshindi 11 VS Senegal
  12 Mshindi 12 VS Cape Verde
  13 Mshindi 13 VS Algeria
  14 Sudan VS Zambia
  15 Libya VS Rwanda
  16 Morocco VS Equatorial Guinea
  17 Msumbiji VS Gabon
  18 Benin VS Burkina Faso
  19 Togo VS Uganda
  20 Angola VS Afrika Kusini
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAIFA STARS KUANZA NA MALAWI KUFUZU KOMBE LA DUNIA URUSI 2018 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top