• HABARI MPYA

  Jumanne, Julai 21, 2015

  SIMBA SC WALIVYOTUA ZENJI TAYARI KWA KAMBI KUJIANDAA NA LIGI KUU

  Kocha wa Simba SC, Muingereza Dylan Kerr akiwasili bandari ya Zanzibar asubuhi ya leo kwa ajili ya kuweka kambi na kikosi chake kujiandaa na Ligi Kuu ya Vodadom Tanzania Bara inayoanza mapema Septemba
  Wachezaji wa Simba wakiwasili Zanzibar leo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC WALIVYOTUA ZENJI TAYARI KWA KAMBI KUJIANDAA NA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top