• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 31, 2015

  MAJIMAJI NAO WALETA KOCHA MZUNGU, MSIMU HUU KAZI IPO LIGI KUU

  Makamu Mwenyekiti wa Majimaji, John Nchimbi (kushoto) akimpokea Mshauri wa Ufundi wa klabu hiyo, Mika lonnstrom kutoka Finland Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mjini Dar es Salaam leo. Mtaalamu huyo amefikia hoteli ya Sea Cliff, Dar es Salaam na kesho anatarajiwa kwenda Songea kuanza kazi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAJIMAJI NAO WALETA KOCHA MZUNGU, MSIMU HUU KAZI IPO LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top