• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 23, 2015

  CHELSEA YAFUMULIWA 4-2 MAREKANI NA TIMU YA THIERRY HENRY

  Eden Hazard wa Chelsea akimiliki mpira mbele ya beki wa New York Red Bulls, Shawn McLaws katika mchezo kirafiki alfajiri ya leo mjini New York, Marekani. Red Bulls, timu ya mwisho Thierry Henry kuchezea ilishinda 4-2, mabao yao yakifungwa na Castellanos dakika ya 51, Adams dakika ya 67, Davis dakika ya 73 na 78, wakati ya Chelsea yalifungwa na Remy dakika ya 26 na Hazard dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAFUMULIWA 4-2 MAREKANI NA TIMU YA THIERRY HENRY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top