David Silva (kushoto) akishangilia na Raheem Sterling baada ya wote kuifungia Manchester City katika ushindi wa 8-1 dhidi ya Vietnam mjini Hanoi leo. Silva alifunga mabao mawili sawa na Sterling na mengine yalifungwa na Aleksander Kolarov mawili moja kwa penalti baada ya Sterling kuchezewa rafu, Rony Lopes na Jose Pozo wakati bao la kufutia machozi la wenyeji lilifungwa na Nguyen Van Quyet dakika za majeruhi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment