• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 24, 2015

  LIVERPOOL YABANWA, SARE 1-1 NA MALAYSIA XI

  Nathaniel Clyne takes on Azamuddin Akli of the Malaysia XI during the pre-season tour match at the Bukit Jalil National Stadium
  Mchezaji wa Liverpool, Lucas Leiva akiwania mpira dhidi ya Patrick wa Malaysia XI katika mchezo wa kirafiki kwenye ziara ya kujiandaa na msimu Uwanja wa Taifa wa Bukit leo. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, Liverpool ikisawazisha kupitia kwa Jordon Ibe baada ya Mliberia Patrick Ronaldinho Wleh kutangulia kuwafungia wenyeji PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YABANWA, SARE 1-1 NA MALAYSIA XI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top