• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 24, 2015

  OLUNGA ATOKA KAPA GOR MAHIA IKILAZIMISHWA SARE 1-1 KOMBE LA KAGAME

  Kipa wa Khartoum N ya Sudan, Adil Abelrasol El Tahir akiwa amedaka mpira huku mshambuliaji wa Gor Mahia, Michael Olunga akipitiliza katika mchezo wa Kundi A Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati mchana wa leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1 bao la Kharotum likifungwa na Ousmaila Baba dakika ya sita kabla ya Erick Ochieng kuisawazishia Gor Mahia dakika ya 55.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: OLUNGA ATOKA KAPA GOR MAHIA IKILAZIMISHWA SARE 1-1 KOMBE LA KAGAME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top