• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 30, 2015

  TIMU YA MUGETA YAENDELEZA DOZI UJERUMANI, WENGINE WACHAPWA 2-0

  Beki Mtanzania, Emily Mugeta anayechezea jNeckarsulm Sports Union (NSU) ya Daraja la Tano Ujerumani, akiwa na Yannick Titzmann, mfungaji wa moja ya mabao yao katika ushindi wa 2-0 jana dhidi ya TSV Pfedelbach katika mchezo wa kirafiki nchini Ujerumani. Bao lingine lilifungwa na Sebastian Kappes.
  Beki Mtanzania, Emily Mugeta akiwatoka wachezaji wa TSV Pfedelbach katika mchezo wa kirafiki jana ambai timu yake, Neckarsulm Sports Union (NSU), ilishinda 2-0, mabao ya Yannick Titzmann na Sebastian Kappes.
  Beki huyo wa zamani wa Simba SC, Emily Mugeta hapa akiwa na kikosi kizima cha Neckarsulm Sports Union (NSU)  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TIMU YA MUGETA YAENDELEZA DOZI UJERUMANI, WENGINE WACHAPWA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top