• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 26, 2015

  ARSENAL WATWAA KOMBE LA EMIRATES, WAIFUNGA WOLFSBURG 1-0

  Wachezaji wa Arsenal wakisherehekea na Kombe la Emirates baada ya kuifunga 1-0 Wolfsburg ya Ujerumani, bao pekee la Theo-Walcott kwa pasi ya Jeff Reine-Adelaide Uwanja wa Emirates leo. Kikosi cha Arsene Wenger kimetwaa Kombe kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2010.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL WATWAA KOMBE LA EMIRATES, WAIFUNGA WOLFSBURG 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top