SIMBA SC YAMUANIKA KAZIMOTO, 'PREZIDAA' AVEVA MWENYEWE AMALIZANA NAYE
Rais wa Simba SC, Evans Elieza Aveva (kushoto) akiwa na kiungo Mwinyi Kazimoto (kulia) wakati wa kusaini Mkataba. Mwinyi amesaini miaka miwili kurejea Simba SC, akitokea Al Markhiya ya Qatar.
0 comments:
Post a Comment