MUINGEREZA WA SIMBA SC ANAVYOWAELEKEZA WACHEAJI, HADI RAHA!
Kocha wa Simba SC, Muingereza Dylan Kerr akiwapa maelekezo wachezaji wake katikaa mchezo wa kirafiki jana dhidi ya Kombaini ya Zanzibar jana Uwanja wa Amaan visiwani humo. Simba SC ilishinda 2-1.
0 comments:
Post a Comment