Luis Suarez wa Barcelona akipambana na Leonardo wa Los Angeles Galaxy katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa mbele ya mashabiki 93,000 mjini Pasadena asubuhi ya leo. Barca ilishinda 2-1 mabao ya Suarez naSergi Roberto, wakati bao la LA Galaxy lilifungwa naTommy Meyer. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment