• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 26, 2015

  ARSENAL YAICHAPA LYON 6-0 KOMBE LA EMIRATES

  Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Lyon ya Ufaransa katika mchezo wa Kombe la Emirates, Uwanja wa Emirates, London jana. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Alex Oxlade-Chamberlain,
  Alex Iwobi, Aaron Ramsey, Mesut Ozil na Santi Cazorla PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YAICHAPA LYON 6-0 KOMBE LA EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top