KCCA YATINGA ROBO FAINALI KAGAME BAADA YA KUICHAPA 1-0 MALAKIA
Mchezaji wa KCCA ya Uganda, Ntege Ivan akimtoka mchezaji wa Malakia ya Sudan Kusini, Saddam Opera Peter katika mchezo wa Kundi C Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame mchana wa leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. KCCA ilishina 1-0, bao pekee la Isaac Sserunkuma dakika ya 14 hivyo kufuzu Robo Fainali ya michuano hiyo.
0 comments:
Post a Comment