• HABARI MPYA

  Monday, July 27, 2015

  WOJCIECH SZSCESNY ATIMKIA AS ROMA KWA MKOPO, AAGA ARSENAL

  ALIYEKUWA kipa namba moja wa Arsenal, Wojciech Szscesny amesema anakwenda AS Roma ya Italia kwa mkopo wa muda mrefu.
  Mlinda mlango huyo mwenye umri wa miaka 25 ameposti video katika akaunti yake ya Instagram jana jioni akithibitisha ataondoka Emirates kuhamia Rome. "Habari za jioni Giallorossi! Nina furaha sana, kwa sababu ninakwenda Roma kesho. Tutaonana hivi karibuni,".
  Szczesny amelazimika kuondoka The Guunners baada ya koch Arsene Wenger kumsajili Petr CVech kutoka Chelsea.

  Wojciech Szczesny anaondoka Arsenal leo kwenda AS Roma PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WOJCIECH SZSCESNY ATIMKIA AS ROMA KWA MKOPO, AAGA ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top