• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 23, 2015

  DANNY INGS APIGA HAT TRICK LIVERPOOL IKIUA 7-0 MALAYSIA

  Danny Ings wa Liverpool akiambaa na mpira katika mechi mazoezi walioshinda 7-0 dhidi ya Felda United ya Malaysia Uwanja wa Bukit Jalil. Ings alifunga mabao matatu peke yake, huku mabao mengine yakifungwa na Lazar Markovic, Pedro Chiravella, Sheyi Ojo na Joao Carlos Teixeira PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DANNY INGS APIGA HAT TRICK LIVERPOOL IKIUA 7-0 MALAYSIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top