• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 31, 2015

  JOVETIC ATUA INTER MILAN KWA MKOPO WA MWAKA NA NUSU

  MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Stevan Jovetic amekamilisha uhamisho wa mkopo kwenda Inter Milan.
  Klabu ya Ligi Kuu ya England imethibitisha kumtoa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 kwa Mkataba wa mwaka mmoja na nusu akachezee Inter, huku kukiwa na mpango wa kumuuza moja kwa moja.
  Jovetic alijiunga na City kutoka Fiorentina mwaka 2013, lakini hajafanikiwa kuwa na namba ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza cha kocha Manuel Pellegrini.

  Inter Milan imemsajili kwa mkopo mshambuliaji wa Manchester City, Stevan Jovetic kwa Mkataba wa miezi 18
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JOVETIC ATUA INTER MILAN KWA MKOPO WA MWAKA NA NUSU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top