![]() |
| Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akimtoka akimtoka kiungo wa Etoile, Alkhaly Bangoura |
![]() |
| Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akipasua katikati ya wachezaji wa Etoile |
![]() |
| Beki wa Yanga SC, Juma Abdul akimtoka beki wa Etoile, Boughattas Zied |
![]() |
| Kiungo wa Yanga SC, Hassan Dilunga akimlamba chenga kiungo wa Etoile, Alkhaly Bangoura |
![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Amissi Tambwe akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Etoile, Naguez Hamdi |








.png)
0 comments:
Post a Comment