KIUNGO mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Ajibu Migomba akifanya vitu vyake kwenye mazoezi ya timu hiyo katika kambi yao ya Karatu mkoani Arusha kujiandaa na msimu mpya watakaouzindua Septemba 19 kwenye tamasha la Simba Day Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment