Wachezaji wa Paris Saint-Germain wakishangilia na Kombe lao la Ligi Ufaransa baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Monaco usiku wa jana Uwanja wa, mabao ya Edinson Cavani mawili, dakika ya nane kwa penalti baada ya Kylian Mbappe kuchezewa rafu na dakika ya 85 na Angel di Maria dakika ya 21 wakati Nahodha, Radamel Falcao pia alifunga, lakini bao likakataliwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment