Zlatan Ibrahimovic akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 77 na 90 na ushei katika mechi yake kwanza kuichezea klabu yake mpya, LA Galaxy ikishinda 4-3 dhidi ya Los Angeles FC usiku wa kuamkia leo kwenye Ligi ya Marekani (MLS) Uwanja wa Stubhub Center, Carson, California PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment