Mohamed Salah akiteleza chini kwa furaha kushangilia na wachezaji wenzake, Roberto Firmino aliyempa pasi na Andy Robertson baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 12 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 20 pasi ya James Milner na Sadio Mane dakika ya 31 pasi ya Salah PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Eddie Hearn reveals he will boycott Mike Tyson's controversial fight with
Jake Paul as he labels the bout a 'huge shame'
-
The controversial fight will be contended at the AT&T Stadium in Texas,
USA, with the rematch between Katie Taylor and Amanda Serrano before it as
the co-m...
50 minutes ago
0 comments:
Post a Comment