Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za 23 kwa penalti na 35 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya CSKA Moscow kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates, London. Mabao mengine ya The Gunners yamefungwa na Aaron Ramsey (kulia) dakika ya tisa na 28, wakati la CSKA Moscow limefungwa na Aleksandr Golovin dakika ya 15 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tennis star Matteo Berrettini's Hugo Boss outfit is banned by Wimbledon
bosses for not being white enough
-
The Italian star posted promotional images of the look - featuring a smart
beige jacket - on his Instagram ahead of its big unveiling.
24 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment