Andre Gray akimchambua kipa Vito Mannone kuifungia bao la pili Burnley dakika ya 83 baada ya Sam Vokes kutangulia kufunga dakika ya 44 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sunderland kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Turf Moor mjini Burnley. Sasa Burnley itamenyana na wababe wa Daraja la Kwanza, Bristol City katika Raundi ya Nne Januari 28 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wigan beat St Helens in Magic Weekend classic
-
Wigan Warriors emerge victorious in a chaotic, stormy and thrilling derby
with St Helens as Magic Weekend ends with a bang at the Hill Dickinson
Stadium.
9 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment