• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 27, 2017

  SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA WAMPA MTU 5-2 KOMBE LA MFALME

  Lionel Messi (kushoto), Denis Suarez (katikati) na Luis Suarez wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Real Sociedad kwenye mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Nou Camp. Mabao ya Barca yalifungwa na Denis Saurez dakika za 17 na 82, Lionel Messi dakika ya 55, Luis Suarez dakika ya 65 na Arda Turan dakika ya 80, wakati ya Real yalifungwa na Juanmi dakika ya 62 na Willian Jose dakika ya 73 na Barca inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 6-2 baada ya awali kushinda 1-0 ugenini PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA WAMPA MTU 5-2 KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top