• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 27, 2017

  MAN UNITED YAPIGWA, LAKINI YAENDA FAINALI KOMBE LA LIGI

  Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic akipiga mpira kichwa mbele ya beki wa Hull City, Michael Dawson usiku wa jana katika mchezo wa marudiano Nusu Fainali Kombe la Ligi England usiku wa jana Uwanja wa KCOM. Hull City walishinda 2-1, lakini wametolewa kwa jumla ya mabao 3-2, baada ya kufungwa 2-0 kwenye mchezo wa kwanza na United sasa itakutana na Southampton katika fainali Februari 26 Uwanja wa Wembley. Mabao ya Hull jana yalifungwa na Tom Huddlestone kwa penalti dakika ya 35 na Oumar Niasse dakika ya 85, wakati la United lilifungwa na Paul Pogba dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAPIGWA, LAKINI YAENDA FAINALI KOMBE LA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top