Mshambuliaji Christian Benteke (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Crystal Palace mabao mawili dakika za 68 na 77 baada ya kutokea benchi kuchukua nafasi ya Loic Remy dakika ya 62 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Bolton Wanderers usiku wa jana Uwanja wa Selhurst Park, London. Bolton walitangulia kwa bao la James Henry dakika ya 48. Crystal Palace sasa itamenyana na Manchester City katika Raundi ya Nne ya FA PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lionel Messi shows off huge bump on his forehead after helping Argentina to
avoid one of World Cup's biggest upsets against Cape Verde
-
Messi was again on the scoresheet with a sublime goal as Argentina beat the
West African minnows 3-2 to reach the last 16 - but only after extra-time.
The ...
5 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment