• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 29, 2017

  AZAM NA SIMBA KATIKA PICHA JANA

  Kiungo wa Simba, Muzamil Yassin (kushoto) akijaribu kumpita beki wa Azam FC, Yakubu Mohammed katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Azam ilishinda 1-0
  Kiungo wa Simba, Jamal Mnyate akipasua katikati ya 

  Mshambuliaji wa Azam, John Bocco (kulia) akikimbilia mpira dhidi ya beki wa Simba, Method Mwanjali 

  John Bocco akifumua shuti mbele ya beki wa Simba, Method Mwanjali

  Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Azam, Erasto Nyoni

  Viungo Jonas Mkude wa Simba (kushoto) na Frank Domayo wa Azam (kulia) wakigombea mpira   

  Beki wa Azam, Yakubu Mohammed akiutelezea mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Juma Luizio

  Beki wa Simba, Janvier Bokungu aakipiga kichwa mbele ya kiungo wa Azam, Joseph Mahundi

  Kikosi cha Simba jana

  Kikosi cha Azam jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM NA SIMBA KATIKA PICHA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top