• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 26, 2017

  REAL MADRID YATUPWA NJE KOMBE LA MFALME HISPANIA

  Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akienda chini baada ya kukwatuliwa na kipa wa Celta Vigo, Sergio Alvarez na beki Muargentina, Facundo Roncaglia katika mchezo wa Robo Faainali ya Kombe la Mfalme usiku wa Jumatano Uwanja wa Balaidos timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Mabao ya Real yalifungwa na Ronaldo dakika ya 62 na Lucas Vazquez Iglesias dakika ya 90, wakati ya Celta Vigo yalifungwa na Danilo Luiz da Silva aliyejifunga dakika ya 44 na Daniel Wass (85). Real inatolewa kwa jumla ya mabao 4-3 baada ya kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza  PICHA ZAIDI NGONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YATUPWA NJE KOMBE LA MFALME HISPANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top