Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Ulimwengu akiwa kwenye gari baada ya kupokewa Uwanja wa Ndege wa Stockholm, Sweden leo kupelekwa mjini Eskilstuna kwa ajili ya kusaini Mkataba wa kujiunga na klabu ya AFC Eskilstuna ya Ligi Kuu nchini humo.
0 comments:
Post a Comment