Robert Lewandowski akikimbia kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Bayern Munich dakika za 35 na 90 na ushei katika ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya wenyeji, Freiburg kwenye mchezo wa Bundesliga usiku wa jana Uwanja wa Schwarzwald mjini Freiburg. Bao la wenyeji lilifungwa na Janik Haberer dakika ya nne PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
6 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment