Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta Jumanne akipiga mpira kitaalamu wakati timu yake, KRC Genk ikimenyana na KV Oostende katika mchezo wa Kombe la Ubelgiji Uwanja wa Versluys Arena, Oostende. Timu hizo zilifungana bao 1-1.
Samatta akijipinda kitaalamu kupiga, lakini bahati mbaya hakufunga
Samatta nyuma ya mchezaji wa KV Oostende
0 comments:
Post a Comment