• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 27, 2017

  MOURINHO AFANYA 'BIRTHDAY' YAKE KWENYE BASI LA TIMU, SASA NI KIBABU CHA MIAKA 54

  Jose Mourinho akifurahia sherehe yake ya kuzaliwa jana akifikisha miaka 54 kwenye basi la timu hiyo baada ya mchezo wa Kombe la Ligi England wakifungwa 2-1 na wenyeji Hull City. Lakini Man United wamesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya awali kushinda 2-0 nyumbani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MOURINHO AFANYA 'BIRTHDAY' YAKE KWENYE BASI LA TIMU, SASA NI KIBABU CHA MIAKA 54 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top