Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney akiwapigia makofi mashabiki baada ya kuifungia timu hiyo bao la kusawazisha dakika ya nne ya muda wa nyongeza baada ya dakika 90 za kawaida katika sare ya 1-1 na wenyeji, Stoke City leo Uwanja wa Bet365 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Juan Mata alijifunga dakika ya 19 kuipatia Stoke bao la kuongoza wakati Rooney leo amefunga bao lake la 250 na kuvunja rekodi ya mabao kwa Mashetani hao Wekundu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment