Wakuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro (kushoto) na Hajji Manara (kulia) wakifurahi pamoja katika sherehe za umoja wa Vijana wa Dar es Salaam ujulikanao kama The Impossible Is Possible zilizofanyika hotel ya Serena, Jijini juzi jioni
Jerry Muro (katikati) akiwa na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ambaye ni Yanga mwenzake na Alawiy Alhadad




.png)
0 comments:
Post a Comment