Cristiano Ronaldo akishangiliaa baada ya kuifungia Real Madrid bao la pili dakika ya 51 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Real Sociedad jana Uwanja wa Bernabeu katika mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa Mateo Kovacic dakika ya 38 na Alvaro Morata dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Snapchat predator jailed for child sex offences
-
Kasey Fitton, 20, is sentenced at Bradford Crown Court and jailed for more
than seven years.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment