• HABARI MPYA

  Jumanne, Januari 31, 2017

  ADEBAYOR ATUA LIGI KUU UTURUKI, ASAINI BASAKSEHIR

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Togo, Emmanuel Adebayor akiwa amevalia jezi ya Istanbul Basaksehir ya Ligi Kuu ya Uturuki baada ya kukamilisha uhamisho wake kama mchezaji huru, kufuatia kutemwa na Crystal Palace mwishoni mwa msimu uliopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ADEBAYOR ATUA LIGI KUU UTURUKI, ASAINI BASAKSEHIR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top