• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 25, 2017

  DI MARIA APIGA MAWILI PSG IKISHINDA 4-1 UFARANSA

  Nyota wa zamani wa Manchester United, Angel Di Maria akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili PSG dakika za 18 na 81 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Bordeaux na kutinga fainali ya Kombe la Ufaransa usiku wa jana. Mabao mengine ya PSG yalifungwa na Edinson Cavani dakika za 60 na 74 wakati la Bordeaux lilifungwa na Diego Rolan dakika ya 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DI MARIA APIGA MAWILI PSG IKISHINDA 4-1 UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top