• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 29, 2017

  HATA SIMBA HII YA 2004 HAIKUWA YA MCHEZO

  Kikosi cha Simba SC mwaka 2004 kikiwa Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam kabla ya mechi yao. Waliosimama kutoka kulia ni Christopher Alex (marehemu), Yussuf Mgwao, Amri Said, Lubigisa Madata, Haruna Moshi na Mrundi Mwinyi Rajab. Waliokaa kutoka kulia ni Msomali Issa Aden Abshir, Primus Kasonso, Kelvin Mhagama, Ulimboka Mwakingwe na Soud Abdallah
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HATA SIMBA HII YA 2004 HAIKUWA YA MCHEZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top