• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 29, 2017

  MAN UNITED YAUA 4-0 KOMBE LA FA ENGLAND

  Bastian Schweinsteiger (kulia) akishangilia na wenzake akiwemo Nahodha, Wayne Rooney (kushoto) baada ya kuifungia Manchester United bao la nne dakika ya 81 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Wigan kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England leo Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya United yamefungwa na Marouane Fellaini dakika ya 44, Chris Smalling dakika ya 57 na Henrikh Mkhitaryan dakika ya 74 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAUA 4-0 KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top