Beki Sergio Ramos (kushoto) akicheza kwa furaha na mchezaji mwenzake, Lucas Vazquez baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 35 na 43 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Malaga ambao bao lao lilifungwa na Juan Pablo Anor Acosta 'Juanpi' dakika ya 63 kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Snapchat predator jailed for child sex offences
-
Kasey Fitton, 20, is sentenced at Bradford Crown Court and jailed for more
than seven years.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment