Winga hatari Goncalo Guedes akiwa ameshika jezi ya klabu ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa baada ya kukamilisha usajili wake wa Pauni Milioni 21 akisaini mkataba wa miaka minne na nusu kutoka Benfica ya kwao, Ureno. Mchezaji huyo alikuwa anatakiwa pia na Manchester United PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Michael Vaughan: Former England captain steps back from work at BBC
-
Former England captain Michael Vaughan says he is stepping back from his
work at the BBC.
Dakika 37 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni