• HABARI MPYA

  Monday, January 30, 2017

  YANGA NA MWADUI KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima (kushoto) akiinua mpira kiufundi kuwatoka wachezaji wa Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0
  Kiungo wa Yanga, Justin Zulu (kushoto) akipiga kichwa mbele ya wachezaji wa Mwadui
  Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akikimbilia mpira dhidi ya beki wa Mwadui, Iddi Mobby
  Beki wa Yanga, Mwinyi Mngwali (kulia) akimtoka mshambuliaji wa Mwadui, Paul Nonga
  Winga wa Yanga, Simon Msuva akiwania mpira dhidi ya beki wa Mwadui, Iddi Mobby
  Refa wa mchezo huo, Jonesiya Rukyaa akimuonya kiungo wa Mwadui, Razack Khalfan baada ya kuzidisha rafu dhidi ya Haruna Niyonzima
  Thabani Kamusoko wa Yanga akimtoka Razack Khalfan wa Mwadui
  Deus Kaseke wa Yanga akimiliki mpira mbele ya Yassin Mustafa wa Mwadui 
  Kikosi cha Yanga jana
  Kikosi cha Mwadui jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA NA MWADUI KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top