Dele Alli akijipinda kuifungia kwa kichwa Tottenham Hotspur dakika ya 58 katika sare ya 2-2 na Manchester City leo Uwanja wa Etihad kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la Spurs limefungwa na Heung-Min Son dakika ya 77, wakati ya Man City yamefungwa na Leroy Sane dakika ya 49 na Kevin De Bruyne dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
4 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment