• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 29, 2017

  BARCELONA YABANWA, SARE 1-1 NA REAL BETIS

  Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akiwa amezungukwa na wachezaji wa Real Betis katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Benito Villamarin mjini Sevilla. Timu hizo zimetoka 1-1, Betis wakitangulia kwa bao la Alex Alegria dakika ya 75, kabla ya Luis Suarez kuisawazishia Barca dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCELONA YABANWA, SARE 1-1 NA REAL BETIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top